Karatasi za kazi za bure za Where Research Begins na rasilimali sasa zinapatikana kwa waelimishaji wanaofundisha kwa Kiswahili! Shukrani zetu kwa mtafsiri, Uliza.org.
Je, ungependa kuwa na Tom na Chris kuja darasani kwako au kuongoza warsha? Tutumie barua pepe kwa trainings@whereresearchbegins.com.
Maswali au marekebisho yoyote ya tafsiri? Tutumie barua pepe kwa admin@whereresearchbegins.com